-Ni Uchaguzi Wetu Wa Amani, Ni Ushindi Wetu..!
Ndugu zangu,
Macho ya dunia yanaiangazia nchi yetu kwa sasa.
Ndio, dunia inaiangalia Tanzania kama kielelezo cha taifa la Kiafrika lililodumu kwa zaidi ya nusu karne bila uwepo wa machafuko na watu kuuana kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika.

Tuna kila
sababu za kuionyesha dunia, kuwa tunaweza kufanya chaguzi za
kidemokrasia bila wenye