Saturday, November 21, 2015

MIILI YA WATU 18 KUPATIKANA HOTELINI


Mali
Polisi wa Mali wameingia katika hoteli hiyo
Maafisa wa serikali ya Mali wamesema sasa hakuna mateka wowote waliosalia katika hoteli ya Radisson Blu mjini Bamako iliyokuwa imeshambulia asubuhi na watu wenye silaha huku miili ya watu 18 ikidaiwa kupatikana ndani ya hoteli hiyo.
Waziri wa usalama wa Mali Salif Traore ameambia kikao cha wanahabari kwamba watu wenye silaha walioshambulia hoteli ya Radisson kwa sasa hawazuilii mateka wowote.

Sunday, November 08, 2015

NI SABABU GANI ILIMLETA TB JOSHU TANZANIA?


Alipokelewa na Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuapishwa kuwa Rais wa awamu ya

KWELI WE JEMBE LETU

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam siku ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano. 

Achagua Mwanasheria Mkuu wa Serikali