Saturday, January 30, 2016

CHADEMA WAMPA SIKU TATU MAGUFULI KUFUTA AGIZO LA TBC

Chadema wampa siku tatu Rais Magufuli

Katibu Mwenezi Bavicha Taifa, Edward Simbeyi

BARAZA la Vijana wa Chadema (BAVICHA) kwa kushirikiana na Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu Chadema (Chaso) wametoa siku tatu kwa Rais John Magufuli kufuta agizo la Shirika la utangazaji la Tanzania (TBC) kutokurusha moja kwa moja mikutano ya Bunge inayoendelea Dodoma. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea).


Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Katibu Mwenezi Taifa Bavicha Edward Simbeyi amesema, kitendo kilichofanywa na Serikali ni udikteta na kwamba, inawanyima

MAGAZETI YA LEO 30/01/2016

Tuesday, January 12, 2016

WAZIRI MUHONGO ATAKA TANESCO IJIENDESHE KIBIASHARA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospter Muhongo (katikakati) akimsikiliza Mbunge Mteule wa Jimbo la Ludewa, Deo  Ngalawa (kulia) wakati

Friday, January 08, 2016

NEY WA MITEGO KUJISALIMISHA TRA

NayWaMitegoMbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’.
KUFUATIA kasi ya utumbuaji majipu wa Rais DK. John Pombe Magufuli kuendelea kutia hofu kwa wenye mali, Mbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa

Saturday, January 02, 2016

KAMPUNI YA TIGO YAPIGWA FAINI



????????????????????????????????????
Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez

KAMPUNI ya MIC Tanzania Limited (Tigo) chini ya mkurugenzi wake, Diego Gutierrez imepigwa faini ya Sh. Milioni 25 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kosa la kushindwa kudhibiti utumaji wa ujumbe wa ulaghai na udanganyifu kwa wateja wake.