Tuesday, March 29, 2016
Tuesday, March 22, 2016
UCHAGUZI WA MEYA KUFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema alitoa uamuzi huo jana akijibu maombi yaliyokuwa yamewasilishwa na walalamikaji, Suzan Massawe na Saad Mohammed Kimji kupitia wakili wao,
Tuesday, March 15, 2016
WAKUU WA MIKOA KUAPISHWA LEO IKULU DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Wakuu
wa Mikoa wapya wa mikoa 26 ya
Saturday, March 05, 2016
MAGUFULI : MAFISADI WAKINISHINDA MSINIITE RAIS,WALIOTUMBULIWA SI WENGI HATA HAWAJAFIKA 2000
Rais
Dk. John Magufuli amesema amejitolea kuwa sadaka kwa Tanzania katika
vita dhidi ya mafisadi na kwamba akishindwa kufanya hivyo, hakuna sababu
ya yeye kuitwa rais.
Pia amesema wote waliotumbuliwa majipu watafikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.
Akizungumza
jana katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika sehemu ya barabara
ya Sakina hadi Tengeru yenye urefu wa kilomita 14.1, itakayokuwa na njia
nne, alisema ataendelea kutumbua majipu kwa kuwa wanaonufaika na
kudidimiza uchumi wa nchi ni wachache.
“Tumeanza
kuchukua hatua ndogo ndogo, tunatumbua majipu. Mpaka sasa
Friday, March 04, 2016
Subscribe to:
Comments (Atom)



